Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiadhimisha maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW). Maulid hayo ya kila mwaka yaliyofanyika hoteli ya Bwawani, yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, pamoja na Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba. (Picha na Salmin Said, OMKR)
TAEC KUTEKELEZA MIRADI MIKUU 4 UKIWEMO ULE WA HUDUMA ZA TIBA NA UCHUNGUZI
WA SARATANI NCHINI.
-
Na Vero Ignatus - Arusha.
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imesema kwa sasa inasimamia na
kuratibu utekelezaji wa miradi mikubwa minne (4) ya kimka...
1 hour ago
0 Comments