Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajiliya mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]



0 Comments