MKUU wa
Mkoa kusini Pemba Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla, akisalimiana na Jaji wa mahakama kuu Zanzibar Mkusa Isaac Sepetu, kabla ya
kuhutubia kwenye maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, ambapo kwa Pemba,
yalifanyika uwanja wa Tenis Chake Chake
Mkuu wa Mkoa
Kusini Pemba Mhe: Mwanajuma Majid Abdallla akizungumza na wananchi
kisiwani Pemba kwenye m,aadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar katika uwanja wa Tenisi uwanja wa Tenisi Chake
Chake
MWAKILISHI
kutoka
ofisi ya Mkurugenzi wa Mashika Pemba All-baghiri Yakuti Juma, akisoma risala
kwenye maadhisho ya siku ya sheria Zanzibar yaliofanyika uwanja wa Tenisi Chake
Chake
WAKILI wa kujitegea kisiwani Pemba, Zaharan Mohamed
Yussuf, akisoma risala kwa niaba ya wanasheria wa kujitegemea Pemba, kwenye uwanja wa Tenisi Chake Chake
BAADHI
ya
watendaji wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar, waliohudhuria kwenye
maadhisho ya siku ya sheria Zanzibar,
ambapo yalifanyika uwanja wa Tenisi
Chake Chake
BAADHI ya
wafanyakazi wa Idara ya Mahaka kisiwani Pemba waliohuzuria kwenye maadhimisho
ya siku ya sheria Zanzibar, ambapo
yalifanyika uwanja wa Tenisi Chake Chake
BAADHI ya
wafanyakazi wa Idara ya Mahaka kisiwani Pemba waliohuzuria kwenye maadhimisho
ya siku ya sheria Zanzibar, ambapo
yalifanyika uwanja wa Tenisi Chake Chake,(
Picha na Haji Nassor, Pemba).







0 Comments