Blogger Cathbet Kajuna akiwa katika harakati za kupata picha wakati akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Mfuko wa Pensheni wa PFPS, akiwa katika moja ya jengo jipya ya Mfuko huo, lilioko katikati ya Mji wa Dar. Hivi ndivyo blogger wanavyohanti na kupata matukio bila ya kujali hii ni sehemu hatari
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
5 hours ago
0 Comments