6/recent/ticker-posts

Muonekano wa Mandhari ya Jiji la Dar-es-Salaam

Picha ya mandhari hii ndio aliokuwa akiitafuta Blogger Kajuna akiwa katika gorofa juu ili kuwahabarisha Wananchi Jiji la Dar linavyovutia kwa magorofa marefu kama yanavyoonekana pichani  

Post a Comment

2 Comments

  1. ingependeza pia kama ungetuwekea na kero na adha zake kama mafuriko, mitaro ya maji machafu n.k

    ReplyDelete
  2. Muungano oyeee!!

    ReplyDelete