Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar wakiwa kazini kuweka lami katika moja ya barabara za mji mkongwe za ndani katika barabara ya Mtendeni kutokea muembetanga ikiwa katika uimarishaji wake kwa kuiwekea lami baada ya muda mrefu barabara hiyo ilikuwa na mashimo na lami yake kuharibika na kufanyiwa ukarabati mkubwa wa kuweka lami mpya.
BALOZI LUVANDA APONGEZA MIKAKATI YA NEMC UTEKELEZAJI DIRA 2050
-
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka
Luvanda (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la
Hifadhi n...
50 minutes ago
0 Comments