6/recent/ticker-posts

Waziri Lukuvi Atembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba Arusha.

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Wiliam Lukuvi akikagua nyumba zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC zilizopo kata ya Levolosi jijini Arusha  jana katika ziara yake mkoani hapo,Katikati ni Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu na Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda.

Post a Comment

0 Comments