Barua yake ya kung’atuka ubunge kupitia chama cha CHADEMA
Mhe.Zitto Kabwe akiongea na waandishi wa Habari usiku wa kuamkia leo mara baada ya Kuwaaga Wabunge Baada ya kuwasomea barua aliyomwandikia Mhe.Spika ya Kung’atuka Ubunge baada ya kuvuliwa Uanachama na chama chake cha CHADEMA( Chanzo kwa Hisani ya Fullshangwe)



0 Comments