6/recent/ticker-posts

Magazetini Bongo Tz


Post a Comment

1 Comments

  1. Sijui CCM-Z'bar, inaelekea wapi kln. nijuavyo kuna njia nyingi za kumdhibiti mzee MOYO ili asiendelee kufanya upuuzi anaoufanya.

    Sidhani kama kumfukuza chama pekee kunaweza kukidhi haja, hii inaweza kuvuruga zaidi hali ya mambo na kuwafanya WAPINZANI waonekane kua kumbe sio chama 'jamii' fulani bali kama ilivyo CCM tu.

    Sura ya kimapinduzi itaonekana ktk vyama vyote viwili na hatimae vijana washindwe kuona tofauti, na kufungua njia ya mwana CCM yeyote yule ambae mambo hayatomwendea vizuri ndani ya chama hata kama kihalali aone heri kuhamia upinzania kwa vile 'mwiko' umeshavunjwa!

    ReplyDelete