6/recent/ticker-posts

Bidhaa zilizopitwa na wakati zatupwa ovyo Pemba

KUMEKUWA na tabia kwa baadhi ya wafanya biashara kisiwani Pemba, kutupatupa baadhi ya bidhaa zilizopitiwa na wakati katika majaa yasiliyokuwa rasmi, pichani mifuko ya biskuti zilizoishiwa na muda zikiwa zimetupwa nyuma ya Wizara ya Habari Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

Post a Comment

0 Comments