6/recent/ticker-posts

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Zanzibar.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  Dk Ali Mohamed Shein, akimsalimia Kijana wa  Chupukizi Zaada Mbarouk Daud baada ya kumvisha kiskafu  baada ya kuwasili n uwanja wa Ndege Zanzibar akitokea Dodoma  katika Mkutano Mkuu wa CCM kuwateuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania na Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na  Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Dodoma Katika Mkutano Mkuu wa CCM Kumchagua Kugombea  Urais wa Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM  waliofika kuopokea akitokea Mkoani Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM  waliofika kuopokea akitokea Mkoani Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari Zanzibar baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume , akitokea  Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM  wa kuwachagua Wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania.




Post a Comment

1 Comments

  1. Hongera Dr Shein!..tunajua, hata miongoni mwa waliokuja kukupokea hapo wengine "nyuso zinacheka lkn. nyoso zinalia" lkn. wewe ndio chaguo letu na lazma umalizie miaka yako mitano!

    Dr. kazi uliyoifanya ni kubwa, kuimarisha utawala bora pamoja na kudhibiti mapato yetu, umeondoa ile dhana ya baadhi ya watu kwamba, kwa vile serikali ni yetu, tufanye tutakavyo!

    ReplyDelete