Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akimsalimia Kijana wa Chupukizi Zaada
Mbarouk Daud baada ya kumvisha kiskafu
baada ya kuwasili n uwanja wa Ndege Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM kuwateuwa Wagombea
wa Urais wa Tanzania na Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume akitokea Dodoma Katika Mkutano Mkuu wa CCM Kumchagua
Kugombea Urais wa Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Wazee wa CCM waliofika kuopokea
akitokea Mkoani Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Wazee wa CCM waliofika kuopokea
akitokea Mkoani Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya
habari Zanzibar baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume , akitokea Dodoma kuhudhuria
Mkutano Mkuu wa CCM wa kuwachagua
Wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania.
1 Comments
Hongera Dr Shein!..tunajua, hata miongoni mwa waliokuja kukupokea hapo wengine "nyuso zinacheka lkn. nyoso zinalia" lkn. wewe ndio chaguo letu na lazma umalizie miaka yako mitano!
ReplyDeleteDr. kazi uliyoifanya ni kubwa, kuimarisha utawala bora pamoja na kudhibiti mapato yetu, umeondoa ile dhana ya baadhi ya watu kwamba, kwa vile serikali ni yetu, tufanye tutakavyo!