6/recent/ticker-posts

Miundombinu iliosahaulika: Gati la chakechake

IPO miundombinu kadhaa ambayo ilikua ikitumiwa na sasa kutelekezwa, ikiwa ni pamoja na gati iliopo Chakechake ambayo ilikuwa ikitumiwa kwa ajili ya kushushia mizigo ya vyombo vikubwa ikiwa ni pamoja na majahazi, ambapo sasa imesahauliwa (picha na Haji Nassor, Pemba)


Post a Comment

0 Comments