UWEPO wa Meli ya MV Serengeti katika bandari ya
Mkoani Kisiwani Pemba, imekuwa ni faraja kubwa kwa wachukuzi wa mizigo katika
bandari hiyo, pichani wachukuzi wakiteremsha mchele kutoka katika meli hiyo na
kupakia katika gari la Munawar katika bandari ya Mkoani kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TPSC YAWAUNGANISHA WATAALAMU KUJADILI MATUMIZI YA AKILI MNEMBA KATIKA SEKTA
YA UMMA
-
Na Mwandishi Wetu — Dar es Salaam, 12 Februari 2026
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kimeongoza mdahalo wa kitaalamu
uliolenga kujadili matumizi...
7 hours ago
0 Comments