KAZI ni kazi, alimradi iwe ya halali na
kisha mkono uende kinywani, ndio ishara inayoonekana kwa kijana huyu ambae
hakupatikana jina lake, katika eneo la Mkoani Pemba, akiwa amebeba madumu
matupu ya mafuta ya kupikia kama sehemu ya kazi yake, (picha na Haji Nassor, Pemba).
HUDUMA ZA KCB ZAWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA ZANZIBAR
-
WANANCHI mbalimbali wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kufungua akaunti
katika KCB Bank kwa lengo la kurahisisha na kukuza shughuli zao za
kibiashara.
...
27 minutes ago
0 Comments