PIA haja kwa akina mama wanapopakiwa katika vyombo
vya maringi Mawili, kuwa waangalifu sana kwa kudhibiti vizuri nguo zao, pichani
wasamaria wema wakiikata nguo ya dada mmoja, ambaye jina lake halikufahamika
mara moja, baada ya kuganda katika Honda aliyokuwa amepakiwa.(Picha na Mwandishi Wetu, PEMBA.)
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
4 hours ago

0 Comments