6/recent/ticker-posts

Kamishna wa Polisi Zanzibar Awataka Viongozi wa Siasa na Wananchi Kufuata Sheria Wakati Wote wa Kampeni na Matokeo ya Uchaguzi Kudumisha Amani

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kuimarishwa kwa ulinzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi na siku ya matokeo na kuwataka Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi kufuata sheria na kuepuka uvunjaji wa Sheria wakati wa kampeni za uchaguzi Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments