Mradi wa uwekaji wa kamera katika barabara mbalimbali ukiendelea na ufungaji wake wa kamera hizo katika maeneo husika ya Mji wa Zanzibar ili kama inavyoonekana moja ya barabara ya Mlandege ikiwa tayari imeshafungwa kamera hizo na zoezi hilo linaendelea sehemu nyengine.
KAMATI YA BUNGE YAITAKA SERIKALI KUIMARISHA USALAMA NA AFYAKATIKA SEKTA
ISIYO RASMI NCHINI
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Hawa
Chakoma, akifuatilia taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Taasisi za OSHA
na WCF ...
31 minutes ago
0 Comments