6/recent/ticker-posts

Wagombea Uwakilishi, Udiwani kwa Tiketi ya CUF wilaya ya mjini walipofika Ofisi za ZEC kuchukua fomu




 Baadhi ya wagombea wa Uwakilishi kwa Cuf wa wilaya ya Mjini, Unguja wakiwa katika ofisi wa tume ya Tume Uchaguzi Zanzibar kuchukua fomu kuomba uteuzi..
 Mmoja wa wagombea Uwakilishi kwa tiketi ya CUF akitia saini kitabu cha kupokea fomu kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 205

  Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Chama cha wananchi CUF . 
  Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Chama cha wananchi CUF .

 Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa wa Chama cha wananchi CUF .  
Mh Nassor Amin Said mgombea nafasi ya udiwani Malindi akikabidhiwa fomu na afisa wa tume ya uchaguzi..
Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Uwakilishi kwa tiketi ya Chama cha wananchi CUF Jimbo la Malindi Nd. Ismail Jusa Ladhu. 
 Mgombea uwakillishi jimbo la Malindi , Ismail Jussa akitia saini kitabu cha kuthibitisha kukabidhiwa fomu za kugombea na afisa wa tum,e ya Uchaguzi Zanzibar ZEC 
 Msafara wa kuelekea Ofisi za tume ya uchaguzi ulianzia ofisi za CUF Mkunazini ukisindikizwa na dufu


Picha kwa hisani ya

Post a Comment

0 Comments