MWANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya serikali Zanzibar alieoko Pemba, Haji Nassor, akizungumza na Mratibu wa wanawake na watoto shehia ya Shengejuu wilaya ya Wete Salma Abdalla Hamad na sheha wa shehia hiyo Omar Faki Kombo juu ya athari za mimba za utotoni, (Picha na Ali Suleiman, Pemba)
NEMC YATOA ELIMU YA MAZINGIRA KWENYE KONGAMANO LA ANWANI ZA MAKAZI
-
-Yatoa Elimu ya Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu
ya mazingira kwenye Kongamano...
19 minutes ago
0 Comments