Balozi Amina Salum Ali akizungumza na wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kumpongeza Mhe. Asha Abdalla Juma kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.
Vijana wa Skaunt wakimvalisha shada la mauwa Mhe. Asha Abdalla Juma kwenye sherehe hiyo.
Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.
Mhe. Asha Abdalla Juma wakikumbatiana kwa furaha na Balozi Amina Salum Ali mara baada ya kuzungumza na wageni mbalimbali. (PICHA ABDALLA OMAR -MAELEZO ZANZIBAR)
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
16 hours ago




0 Comments