6/recent/ticker-posts

Biashara ya maziwa


ni Biashara iliyonza miaka mingi sana ambapo wafanyabiashara hii mara nyingi huishi mashamba na kuleta maziwa mjini kila siku kufuatia oda maalum kwenye majumba ambayo huwapelekea maziwa fresh ya N'gombe. Wafanya biashara wa mazkiwa huwa hawalali mjini wakimaliza hurudi mashamba kwa ajili ya kujiandaa na siku nyengine

Post a Comment

0 Comments