Kivutio cha Watalii wanaofika kutembelea Zanzibar ni milango asili Zanzibar Door kama walivyokutwa Watalii hawa wakipata maelezo ya mmoja wa mlango wa Zanzibar wa nakshi katika mji mkongwe ukiwa umepamba na Milango ya Zanzibar ni moja ya kivutio cha wageni wanaotembelea Mji Mkongwe Zenj.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
17 hours ago
0 Comments