6/recent/ticker-posts

Ligi Kuu ya Zanzibar Kijichi na KMKM Imeshinda 3--0



















 Benchi la Wachezaji wa Timu ya Kijichi na Viongozi wao wakiwa hawaamini macho yao baada ya kukubali kipigo cha mabao 3--0 dhidi ya Timu ya KMKM mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Makocha wa Timu za Ligi Kuu ya Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati yav Kijichi na Kmkm uliofanyika Uwanja wea Amaan.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0

Post a Comment

0 Comments