![]() |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na u safi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Joyce Msiru akiwasili katika eneo la mradi huo. |
![]() |
| Baadhi ya wajumbe wa Bodiya Wakuugenzi ya MUWSA,kutoka kulia ni Hajira Mmambe,Elizabeth Minde,na Mhandisi Alfedy Shayo. |
![]() |
| Makamu Mwenykiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWS,Profesa Faustine Bee akifanya utamburisho wa wageni mbalimbali waliofika katika eneo la Shabaha kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA. |
![]() |
| Diwani wa kata ya Mabogini ,Emnuel Mzava akizungumza wkati wa uzinduzi wa mradi wa maji katia eneola Shabaha lililopo katika kata yake. |
![]() |
| Baadhi ya Viongozi wa MUWSA,kutoka kushoto ni Mkaguzi wa ndani wa MUWSA,Benson Maro,Meneja rasilimali watu Michael Konyaki na Meneja ufundi ,Mhandisi Patrick Kibasa. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA. |
![]() |
| Kikundi cha Ngoma cha Msnja kikitumbuiza wakati wa uzinduzi huo. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi waliofika katika uzinduzi huo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ,Shrry Raaymond akizungumza katika uzinduzi huo. |
![]() |
| Badhi ya wfanyakazi wa Mamlka ya maji safi na usafi wa Mazingir mjini Moshi (MUWSA). |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi w mradi wa maji katik eneo la Shbaha wilaya ya Moshi vijijini. |
![]() |
| Mkuu w mkoa Makala akifungua maji ktika moja ya Kilula katka eneo la Shbh wilaya ya Moshi vijijini. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akimbebesha ndoy maji mmoja wa wakazi katika eneo la Shabaha mara baada ya kuzindua mradi huo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya y Moshi,Novatus Makunga akizungumza wkati wa uzinduzi huo. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjro,Amosi Makala akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake ya uzinduzi wa madi wa maji katika eneo la Shabaha. |
![]() |
| Baadhi ya wafanykazi wa MUWSA. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,Sharry Raymond akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael , |
![]() |
| Mbunge wa Jibo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA ,Sharry Raymond akimkaribisha Mwenyekiti wa Halmashuri ya wilaya ya Moshi ,Michael Kilawila . |
![]() |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Amos Makala akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael mara baada ya uzinduzi wa mradi w maji wa Shabaha. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshii ,Novatus Makunga akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael mara baada ya uzinduzi wa mradi w maji wa Shabaha. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) |































0 Comments