Hii ni baraza ya kupumzikia kama ilivyo kawaida kwa nyumba nyingi visiwani ila imewekwa Oil mchafu kwa sababu mwenye nyumba amechoshwa na visa na kauli mbaya zinazotoka kwa wanaokaa katika baraza hiyo na hiyo kuamua kuweka Oli mchafu ili watu wasikae barazani hapo kama ilivyokutwa na mpiga picha wetu maeneo ya Wilaya ya mjini Unguja ( mtaa umehifadhiwa)
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
4 hours ago
0 Comments