SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inapaswa kutafuta
sehemu maalumu ya kuhifadhi magari ya zamani, ambayo yalitembea kisiwani Pemba
katika miaka ya 1970, gari hizo zinaweza kuwa moja ya vivutio vikubwa vya
utalii, ni moja ya daladala za kisiwani Pemba ambazo zinaweza kuwa historia
kubwa kwa vizazi vijavyo, pichani gari aina ya daladala za mbavu za mbwa,
ambalo kwa sasa limekufa kabisa.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKONDA AKABIDHI BARUA YA RAIS DK. SAMIA KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA
AFRIKA
-
*Ni baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo nchini Norocco
*Amwambi Rais Samia yupo tayari kushirikiana na CAF kutekeleza mipango ya
maendeleo ya soka...
2 minutes ago

2 Comments
Inashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historian, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDeleteInashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historia, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDelete