SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inapaswa kutafuta
sehemu maalumu ya kuhifadhi magari ya zamani, ambayo yalitembea kisiwani Pemba
katika miaka ya 1970, gari hizo zinaweza kuwa moja ya vivutio vikubwa vya
utalii, ni moja ya daladala za kisiwani Pemba ambazo zinaweza kuwa historia
kubwa kwa vizazi vijavyo, pichani gari aina ya daladala za mbavu za mbwa,
ambalo kwa sasa limekufa kabisa.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
SERIKALI YAWEKEZA SHILINGI BILIONI 500 KUBORESHA RELI YA KATI.
-
Mhandisi wa Miradi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mhandisi Edwin
akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 19, 2026 katika Ofisi ya
Mkuu wa Mkoa...
2 minutes ago

2 Comments
Inashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historian, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDeleteInashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historia, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDelete