TAASISI mbali mbali zinapaswa kuwa makini nchini,
zinaposafirisha vifaa vyao barabarani ili visije vikasababisha madhara kwa
wengine, pichani gari la Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Pemba likiwa
limepakia pipa za lami bila ya kuzifunga, jambo ambalo linaweza kuwa hatari kwa
wengine.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia ma...
8 hours ago

0 Comments