Wananchi wa Zenj wakiwa katika harakati za hapa na pale kujitafutia mahitaji yao katika mitaa ya darajani wakati wa kipindi hichi cha mfungo wa mwezi wa Mtukufu wa Ramadhani wakijiandaa na maandalizi ya sikuku kwa kujipatia kofia kwa ajili ya Sala ya Eddi baada ya mfungo.
REA KUWASAIDIA WABUNIFU WA JIKO BOMBA
-
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamewatembelea Wabunifu na wazalishaji wa
majiko ya asili yaliyo boreshwa nakuongezewa bunifu zinazowezesha Nishati
Safi...
18 minutes ago
0 Comments