Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, mheshimiwa Zubeir Ali Maulid (wa kwanza kushoto) akibadilishana mawazo na Meya wa Mji wa Port Lois nchini Mauritius, Bwana B.Oumar Kholeegan (katikati), kulia ni mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar, Mheshimiwa Simai Mohammed Said (Mpakabasi). Mheshimiwa Spika Zubeir yuko nchini Mauritius kuhudhuria Mkutano wa 47 wa Umoja wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afirika (CPA African Region).
Samsung yafungua Maduka Mawili Mapya ya Brand Store Kunduchi na Ubungo,
Ikionesha Uzoefu Kamili wa Wateja wa Samsung
-
Samsung Electronics East Africa imezindua rasmi maduka mawili mapya ya
chapa ya Samsung katika maeneo ya Kunduchi na Ubungo, hatua inayothibitisha
uwepo ...
2 hours ago

0 Comments