6/recent/ticker-posts

Baraza la Manispaa Chakechake mko wapi?

LICHA ya Mvua kutokunyesha kwa kipindi kirefu Kisiwani Pemba, lakini sio sababu ya Baraza la Mji Chake Chake kushindwa kuzizoa takataka zilizoko katika Dampo la Machomanne, pichani takataka hizo zikiwa zimetawanyika kwa kushindwa kuzoelewa zikiwa na zaidi ya mwezi mmoja sasa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Post a Comment

0 Comments