TATIZO la Ukosefu wa Huduma ya Maji Safi na salama
ni muhimu kwa wananchi wote, pichani wananchi wa shehia ya Sizini Wilaya ya
Micheweni, wakiteka maji katika kisima baada ya kukosa huduma hiyo ya Maji.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
SIKU 3 ZA MKOA WA DODOMA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUTOA TAARIFA SIKU
100 ZA DKT SAMIA.
-
Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe Rosemary Senyalume ametoa wito kwa Wananchi wote wa
Mkoa Dodoma kujitokeza kutumia fursa ya kutoa kero zao na kupata utatuzi
kati...
11 hours ago
0 Comments