Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe Salim Turky na Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe Issa Haji Gavu wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar ikizikutanisha timu za Majimbo yao mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Benki ya Absa Tanzania Yazindua Ripoti ya Absa ya Viashiria vya Masoko ya
Fedha Afrika 2025, ikionesha Maendeleo ya Tanzania na Vipaumbele vya
Mageuzi ya Kiuchumi.
-
Benki ya Absa Tanzania Tanzania imezindua rasmi ripoti ya Absa ya Viashiria
vya Masoko ya Fedha Afrika 2025 kwa Tanzania katika hafla iliyofanyika
jijin...
20 minutes ago
0 Comments