MWANDISHI nguli na Katibu wa Jukwaa la wahariri Tanzania ‘TEF’ Neville Meema, akiwasilisha mada ya nafasi ya vijana katika vyombo vya habari, kwenye mafunzo hayo ya siku tatu yalioanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam ambayo yameandaliwa na Internews Tanzania, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaam).
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali Tanzania bara na Zanzibar, waliohudhuria mafunzo ya jinsia na vijana, yalioandaliwa na Internews na kufanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaama).

MWANDISHI wa habari na mhariri wa habari za ‘online kutoka TBC Leah Mushi akielezea uzoefu wake wa kuandika habari za jinsia na mazingira, kwa waandishi wa habari kwenye mafunzo ya jinsia na vijana yalioandaliwa na Internews na kufanyika Mikocheni jijini Dar-es Salaam, (Picha na Haji Nassor, Dar-es Salaam).
BALOZI LUVANDA APONGEZA MIKAKATI YA NEMC UTEKELEZAJI DIRA 2050
-
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka
Luvanda (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la
Hifadhi n...
49 minutes ago
0 Comments