Mafunzi wa Manispa ya Zanzibar wakizifanyia matengenezo taa za nguvu za jua Solar kwa kubadilisha matungi ya taa hizo na kubadilisha betry na kuziweka nyengine wa kushirikiana na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha JKU Zanzibar kama walivyokutwa na camera yetu wakiwa katika zoezi hilo la ubadilishaji huo katika barabara ya michezani.
SERIKALI YAPELEKA TABASAMU KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU MTWARA
-
Na Mwandishi wetu, Mtwara.
Serikali kupitia Ofisi ya Halmashauri ya Mtwara Mikindani imekabidhi vifaa
saidizi na kiasi cha shilingi milioni 342 ikiwa n...
3 hours ago
0 Comments