6/recent/ticker-posts

Mambo ya Sikukuu Katika Viwanja Vya Ufukwe wa Pwani ya Forodhani Zanzibar.

Mambo ya kachu katika ufukwe wa bahari ya forodhani Zanzibar vijana wengi hutumia ufukwe huo kwa kuogelea tangu enzi hizo eneo hilo taimu ya jioni hujaa vijana kwa watoto kwa kuogelea wakati maji yakijaa. Kama anavyoonekana kijana huyu akiruka maji kwa staili ya kachu.





Post a Comment

0 Comments