6/recent/ticker-posts

Shukrani za dhati kutoka kwa wanafamilia wa Al Akh Farid Zahran Salim

" Tunapenda kutoa shukurani za dhati kabisa kutoka moyoni mwetu kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyengine katika kumuuguza na mpaka kumzika baba yetu, ndugu yetu, rafiki yetu, mwenzetu, mpendwa wetu, sk Farid Zaharan Salim wa Northampton, England. Kilicho tokea huko Northampton tarehe 13/06/2017, na kuzikwa huko huko Northampton 15/06/2017."

Allah amrehem na amlaze mahali pema peponi.. Amin

Wanafamilia


Shukran

Post a Comment

1 Comments