Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma Neema Majule, kulia akimtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Gaudencia Kabaka,baada ya kuwasili katika viwanja vya Makao Makuu CCM White House Dodoma wakati wa mapokezi yake yalioandaliwa ma UWT Mkoa wa Dodoma na kutambulishwa kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo baada ya kuchaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa UWT uliofanyika Mkoani huo wiki hii.
KILIMO CHA KISASA NGUZO YA USALAMA WA CHAKULA NA UCHUMI WA KIJANI
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Tanzania imetajwa kuwa na fursa kubwa ya kuongeza usalama wa chakula na
kukuza uchumi kupitia sekta ya kilimo endapo wakulima ...
37 minutes ago
0 Comments