Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Maroco akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Omar Hassan King wakiwasili katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuipongeza Timu hiyo kwa hatua iliofikia katika michuano ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya yaliomalizika wiki iliopita. kwa kufungwa katika mchezo wa Fainali na Timu ya Kenya kwa matruta 3-2.
KIHONGOSI AFANYA KIKAO KAZI NA VIONGOZI,WASANII BENDI YA TOT
-
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi
na Mafunzo Kenan Kihongosi amefanya kikao kazi na viongozi m...
15 hours ago
0 Comments