Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Taifa ya Jangombe na Zimamoto Timu ya Taifa ya Jangombe Imeshinda Bao 1-0. Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
SANGU: BODI YA WADHAMINI WCF KUTEKELEZA DIRA 2050
-
Na. OWM-KAM – Dodoma
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka
mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maende...
0 Comments