Mwenyekiti wa Taasisi ya Samael Academy and College, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya kuanzishwa kwa taasisi hiyo na kuanzishwa chuo kitakachotowa mafunzo ya ufundi ambayo yanalengo la kuwafanya Vijana waweze kujiajiri wenyewe na kupambana na Umaskini.
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
12 hours ago

0 Comments