Mratibu wa Miradi TAMWA Zanzibar Bi. Haura Shamke akifungua Majadiliano hayo ya kuzungumzia hali ya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar yalivyofikia, Mkutano huo umeandaliwa na Tamwa Zanzibar kupitia Mradi wake wa Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar.Mkutano huo umewashirikisha Wanaharakati kutoka Mikoa ya Unguja Walimu wa Madrasa, Masheikh, Waandishi wa Habari na Wanaharakati Wanawake Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Mtamwa Tunguu Zanzibar
TANZANIA NA SOMALIA WASAINI MKATABA MASUALA YA KIUHAMIAJI
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya
Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya
kiuhamiaji.
...
1 hour ago
0 Comments