6/recent/ticker-posts

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ajitambulisha Kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mama. Gaudencia Kabaka alipofika Katika Majengo ya Baraza la Wawakilishi na Ujumbe wake Kujitambulisha Kwa Spika leo Chukwani Zanzibar.


Post a Comment

0 Comments