Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid alipokwenda kumuaga kabla ya kuanza safari ya kwenda Botswana kuhudhuria mkutano huo wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
3 hours ago

0 Comments