Wafanyabiashara wa Utalii Zanzibar wakiwa katika maandalizi ya msimu huo kwa kuzifanyia ukarabati boti zinazotoa huduma ya usafiri katika Visiwa vya Historia ya Zanzibar, kama walivyokutwa wakiwa katika zoezi hilo la kuzifanyia ukarabati wa kupata rangi na kuzikalafati katika ufukwe wa pwani ya forodhani Zanzibar.
KILIMO CHA KISASA NGUZO YA USALAMA WA CHAKULA NA UCHUMI WA KIJANI
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Tanzania imetajwa kuwa na fursa kubwa ya kuongeza usalama wa chakula na
kukuza uchumi kupitia sekta ya kilimo endapo wakulima ...
3 hours ago
0 Comments