Mchezaji wa Timu ya Haile Sellasie Juma Abubakari akimpita mchezaji wa Timu ya Nyuki Yussuf Juma wakati wa Mchezo wa Fainali ya Tamasha la Elimu Bila Malipo Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja uliofanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar Timu ya Haeli imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 37 - 23. na kutangazwa Bingwa wa Skuli za Sekondari Mchezo wa Basket Ball Mkoa wa Mjini na kuwakilisha Mkoa wa Mjini Magharibi katika Michuano ya Taifa ya Tamasha la Elimu Bila Malipo kwa Mikoa Mitano ya Zanzibar.
ASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WA JIRANI YAKE
-
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Furaha Mwile Nyelele, mkazi wa
Kijiji cha Shilanga kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa jirani yake aliyekuwa
Mwan...
40 minutes ago
0 Comments