Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu)-(katikati)alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya "China National Research Insitute of Food and Fermantation Industries Corporation Ltd" inayotoa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kwa watendaji Mali Mali nchini ulioongozwa na Msaidizi Rais wa taasisi hiyo Bi.Luo Yangin (wa tatu kushoto) walipofika Ofinini kwake Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]
KILIMO CHA KISASA NGUZO YA USALAMA WA CHAKULA NA UCHUMI WA KIJANI
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Tanzania imetajwa kuwa na fursa kubwa ya kuongeza usalama wa chakula na
kukuza uchumi kupitia sekta ya kilimo endapo wakulima ...
4 hours ago
0 Comments