Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Idara ya Utunzaji wa barabara wakiwa katika zoezi la kuifanyika matengenezo barabara ya kidimni Wilaya ya kati Unguja baada ya barabara hiyo kuharibika na kuweka lami katika eneo lililoharibika kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika zoezi hilo.
MAKATIBU WAKUU VYAMA VYA UKOMBOZI WAJADILI HALI YA KISIASA KUSINI MWA AFRIKA
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza Kikao cha 12 cha Makatibu Wakuu wa
Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambapo, pamoja na mambo mengine,
vimejadili...
34 minutes ago
0 Comments