Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akihutubia katika Kongamano la Biashara Kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa hoteli ya Westin jijini Beijing nchini China, Septemba 2, 2018. Makampuni yapatayo 80 yalishiriki katika Kongamano hilo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TANESCO YAWEKA WAZI TARATIBU ZA UPIMAJI NA MAUNGANISHO YA UMEME RUVUMA.
-
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Mkoa wa Ruvuma, Allen Njiro, amesema kuwa wananchi hawatakiwi kulipa fedha
zoz...
8 minutes ago
0 Comments